TAARIFA YA MATENGENEZO MFUMO WA TANCIS

  • gallery

TAARIFA YA MATENGENEZO MFUMO WA TANCIS

CUSTOMS AND EXCISE DEPARTMENT

ISO 9001: 2008 Certified

 

 

TAARIFA YA MATENGENEZO MFUMO WA TANCIS

 

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawataarifu watumiaji wa mfumo wa forodha wa TANCIS kuwa, siku ya Jumatatu Aprili 3, 2017 kuanzia saa tatu usiku (2100 hours), itazima mfumo wa forodha wa TANCIS hadi saa nne usiku (2200 hours).

Lengo ni kuboresha mfumo wa forodha wa TANCIS katika uhifadhi wa taarifa (Database). Tunaamini maboresho haya yatasaidia kuimarisha utendaji wa mfumo huu wa forodha.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na:

 Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa,

MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)

Post a comment

Your email address will not be published.

X