MWALIKO WA KUHUDHURIA SEMINA KWA WAAGIZAJI WA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI NA MAWAKALA WA FORODHA WA MKOA WA DAR ES SALAAM

  • gallery

Shirika la viwango Tanzania (TBS) limeandaa semina kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi na Mawakala wa Forodha wa mkoa wa Dar es Salaam mnamo tarehe 15 na 16 February 2017 katika ukumbi wa Anartouglo kuanzia saa tatu (3) kamili asubuhi mpaka saa tisa (9) alasiri.

Lengo la semina hii ni kutoa mafunzo kwa walengwa juu ya taratibu za ukaguzi wa bidhaa nje ya nchi kabla ya kusafirishwa kuja nchini yaani Preshipment Verification of Conformity to Standard (PVoC) na zile zilizokaguliwa baada ya kufika nchini

Mtu ambae atataka kushiriki apige simu TAFFA tarehe 14/02/2017 kabla ya saa 8 mchana na azungumze na Skovia 0754 311999 au Levina 0763780768 ili aseme atashiriki lini(yaani tarehe 15 au 16),jina lake na kampuni anayotoka.

Washiriki wanatakiwa kuzingatia muda kwani semina inafunguliwa rasmi na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam mnamo tarehe 15 February 2017 saa tatu kamili asubuhi

Tony Swai

Katibu Mkuu (TAFFA)

Post a comment

Your email address will not be published.

X